Sunday, August 1, 2010

Chakutumaini Sina

BETTER AUDIO QUALITY FOR DOWNLOAD AVAILABLE AT THE LINK: CHAKUTUMAINI SINA & &

LYRICS


1. Chakutumaini Sina
Ila damu yake Bwana
Sina wema wakutosha
Dhambi zangu kuziosha

Kwake Yesu nasimama
Ndiye mwamba, ni salama
Ndiye mwamba, ni salama
Ndiye mwamba, ni salama

2. Njia yangu iwe ndefu
Yeye hunipa wokovu
Mawimbi yakinipiga
Nguvu zake ndiyo nanga

3. Damu yake na sadaka
Nategemea daima
Yote chini yakiisha
Mwokozi atanitosha

4. Nikiitwa hukumuni
Rohoni nina amani
Nikivikwa haki yake
Sina hofu mbele zake

1 comment:

Unknown said...

Safi kabisa! Nakumbuka sana sisi wanakwaya tukicheza wimbo huo sana sana kijijini. Nimefurahi sana kusikiliza recording yako kwenye blog hii.